NAPRO App

Hii App Iko na Vibe ya 'Sijali Dalali'!

NAPRO logo

Digital Dalali bila drama

Move Over Madalali, NAPRO Is Here!

Hutaki janja janja za madalali? Kulipa kamisheni? Kulipa pesa ya kuonyeshwa nyumba? Ungependa ku-deal direct bila mtu kati? Njoo NAPRO.NAPRO ni kifupi cha No Agents Properties yaani ni app ya kijanja inayokupa nguvu ya kuuza/kupangisha nyumba, kiwanja au shamba moja kwa moja kwa mnunuzi au mpangaji BILA DALALI.Mali yako, Bei yako, Hakuna Kulipa Kamisheni

Tangaza Kimtindo, Geofencing Staili

Karibu Yako = Mteja Wako

Watu wakitembea karibu na nyumba/kiwanja/shamba lako, wanapata ujumbe moja kwa moja kwenye simu zao! 🧭. NAPRO App ni kama Uber, lakini kwa nyumba yako.Dalali wa kisasa kwenye simu.

Tumia NAPRO App, Wafunze Madalali Nidhamu

Unaweza Kuwa Dalali Wako Mwenyewe – Na Bora Zaidi

Huku NAPRO App hakuna kujifunga kimkataba. Panga bei yako, Zungumza na wateja wako, Tia mfukoni pesa zako.Ni NAPRO Baby – Hakuna Kukamuliwa

NAPRO APP COMING SOON

Dalali anasema 'trust me', NAPRO App tunasema 'trust you phone'

Kabla ya kuizindua rasmi, NAPRO timu tunakusanya taarifa fupi za wauzaji, wapangishaji, wanunuzi na wapangaji wanaotaka kuwapiga madalali vikumbo na kuingia NAPRO.Bonyeza jisajili, ingiza taarifa zako, kuwa wa kwanza kupata taarifa tutakapoizindua.Kwa maswali: Mcheki Shamte Kilalile, mwanzilishi wa NAPRO kwa email na mitandao ya kijamii hapo chini